封面

Nikikupata

Ben Pol
专辑:Maboma (Deluxe Edition)流派:流行
立即播放
收藏
分享
下载歌曲
Maisha yangu mi, nmeshafanya vingi na
kukutana na wengi
Kama warembo nao, nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi
Uzuri sio sura ma
pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na Imani
Uzuri sio sura ma
pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na Imani
Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Heshima ya mapenzi, ubora wa mapenzi
Wawili kuaminiana
Heshima ya mapenzi, furaha ya mapenzi
Mimi na we tukipendana
Nami ninaapa, kukupa thamani ya penzi unalopaswa
Kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya pendo nikakosa
Uzuri sio sura ma...
pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na Imani
Uzuri sio sura ma...
pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na Imani
Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Maisha yangu mi, nmeshafanya vingi na
kukutana na wengi
Kama warembo nao, nimeshakuwa na wengi ila sio siri umewazidi
Uzuri sio sura ma
pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na Imani
Uzuri sio sura ma
pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, hekima na ukarimu wako, busara na Imani
Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, milele nitafurahi
Nitaimba nakupenda, hadi mwisho wa uhai
展开展开

同歌手歌曲

封面
MabomaBen Pol
封面
ManenoBen Pol
封面
UremboBen Pol
封面
MamaBen Pol
封面
EbenezerBen Pol
封面
SikukuuBen Pol
封面
B the KingBen Pol
查看更多

同专辑歌曲

2
JikubaliBen Pol
3
NaringaBen Pol
4
6
MabomaBen Pol
8
ManenoBen Pol
9
PeteBen Pol
查看更多

热门推荐

1
勇气梁静茹
2
雨爱杨丞琳
4
恶作剧林依晨
5
雨过后的风景Dizzy Dizzo (蔡诗芸)
6
7
9
心墙郭静
10
美人鱼林俊杰
11
我怀念的孙燕姿
12
郑润泽
13
慢冷李荣浩
14
玻璃Gareth.T
查看更多
2023 © 抖音京ICP备16016397号-3北京抖音科技有限公司营业执照
北京市海淀区北三环西路甲18号院4号楼2层2022京公网安备11000002002046号互联网宗教信息服务许可证:京(2025)0000017
广播电视节目制作经营许可证网络文化经营许可证增值电信业务经营许可证出版物经营许可证