作曲:Khery Sameer,Nasibu Abdul Juma,Salmin Kasimu Maengo,Sharif Said Juma
作词:Khery Sameer,Nasibu Abdul Juma,Sharif Said Juma
Mmh mmh
Ooh no no no
Jay once again
Penzi zito kilo mia hamsini
Vile napata rah utaniambia nini
Kuna muda kama siamini
Na kuna muda ni kaa napendwa na jini
Maana penzi lako ndege mtini
Niko matawi ya juu nisha tulia mimi
For your love let me sing sing
Nisha kolea hatari mapenzini
Tamu pipi ya kijiti (anhaa)
Ukiilamba unacheka
Na kibaridi hikii
Niozesheni hata ndo ya mkeka
Penzi halishikiki (anhaa)
Linavyo tetemesha
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mapoz na mi
Mmmh
Na sio ndumba wala
Raha tuu zimeniziidi
Sio mambo mitala
Penzi mwenyewe nafaidi
Nakumbatwa kwa baridi
Usinione nnang’ara
Natunzwa habibi
Matikiti kudondokaa
Matikiti kudondokea
Marafiki huwa ni nyoka
Hivyo chunga wanayoongea
Nikande kande nikichooka
Sio narudi unanifokea
Ona mweni nilikotokaa
Mambo fyongo hayajaninyookea
Tamu pipi ya kijiti (anhaa)
Ukiilamba unacheka
Na kibaridi hikii
Niozesheni hata ndo ya mkeka
Penzi halishikiki (anhaa)
Linavyo tetemesha jamani
Si tufunge muziki
Nikuonyeshe jinsi ninavyo cheza
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Ngoja, huu ni usiku au mchana?
Hold up, hivi ni leo au ni jana?
Mapozi na mi
Uh
Unanikumbusha ujana (Ujana)
Roho unavyo irusha nitakuja kufa, msichana
Nimepagawa uwanjani, na sijui ngapi, ngapi
Refa ni nani?
Mbona mpira haujii kati?
Nichague kijani, yellow au purple?
Au nije muda gani?, ili niende na wakati
Unawakanya mabishoo
Kitandani unanipa show
Mpaka nasahau Show (Ah, wee!)
Ah, unanichanganya kwenye roho
Usije kunidanganya, no
Weka penzi, nieke dough (Ah, wee!)
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi
Mapoz na mi
Mi na mapoz na mimi