Mambo yakinizidia mie hu-Pray
Riziki ukinizibia haipotei
Unachoshadadia hakitokei
Unaishia kujiharibia tu aisee
Mambo yakinizidia mie hu-Pray
Riziki ukinizibia haipotei
Unachoshadadia hakitokei
Unaishia kujiharibia tu aisee
Chaka zote nikitimba sitoki teh-teh-teh
Ninajua sir GOD ananilinda..
poti niko bye-bye-bye
Ninapata noti ninachimba..
pochi usichezee mzee
Mchizi boti ninavimba..
copy ili uendelee
Zingua Once ni okay
Twice, ni go - go away
Kama Cassius Clay..
uduanzi..
na ufo-fo nahin
Ishi kila siku kama ndio last last day
Ipo siku utakua sawa kwanza pass pass Jay
Pambana na dhiki..
pesa ina say
Wewe ukisema hailipi yule inamPay
Ninahitaji noti star nitokelezee
Na nisiwe biggie ili kwa sport car..
nitoshelezee
Ey ey ey ey..
Mambo yakinizidia mie hu-Pray
Riziki ukinizibia haipotei
Unachoshadadia hakitokei
Unaishia kujiharibia tu aisee
Mambo yakinizidia mie hu-Pray
Riziki ukinizibia haipotei
Unachoshadadia hakitokei
Unaishia kujiharibia tu aisee
Verse 2:
Unanipiga visu, sigiri nyingi na unanichekea
Sikuoni ishu..
Hauna la msingi au cha kuezekea
Hauna la msingi wala la chekechea
Hauna la msingi labda la ubeste wa umbeya
Unaendekeza figisu ndio maana hauendelei
Kupenda penda mabifu, wivu..
haikupendezei /ninajitenga sitaki ukaribu..
wala sitaki tuongee
Sitaki kuharibu ukakwama,hautaki nisogee
Ikiwa unanibana kijana mchana ile kweupe pyee
Nina uhakika kwa giza utaomba nigeuke mzee
Riziki hutoa maulana..
na sio pedeshee
Nategemewa na mama mimi sio hey baybae
Kutupiana lawama sipendelei
Kutwa kupeana laana..
hatujiombei
Tunapigana maspana…wana everyday
Tunakatana katana hatutembei
Ey ey ey
Mambo yakinizidia mie hu-Pray
Riziki ukinizibia haipotei
Unachoshadadia hakitokei
Unaishia kujiharibia tu aisee
Mambo yakinizidia mie hu-Pray
Riziki ukinizibia haipotei
Unachoshadadia hakitokei
Unaishia kujiharibia tu aisee